Timu 16 ambazo zimetolewa Caf Chamapions League zitacheza play Off ya Caf Confederation Cup.


1-St George (Ethiopia)
2-UD Songo (Msumbiji)
3-Zanaco (Zambia)
4-Yanga Sc (Tanzania)
5-CF Mounana (Gabon)
6-Bidvest Wits (Afrika Kusini)
7-Williamsville AC (Ivory Coast)
8-Génération Foot (Senegal)
9-Mountain On Fire (Nigeria)
10-Plateau United (Nigeria)
11-As Vita Club (DR Congo)
12-Gor Mahia (Kenya)
13-Asec Mimosas (Ivory Coast)
14-Rayon Sports (Rwanda)
15-Al hilal Omdurman (Sudani)
16-Aduana Stars (Ghana)

>Timu hizi zimetolewa kwenye CAf Champions League itachezeshwa draw Jumatano ya March 21 Cairo Misri kujua watakutana na nan na zile timu zilifuzu 16 bora ya Caf Confederation Cup.

>Kutakuwa na Pot 2 mbili tu Pot ya Kwanza ni timu zilizotolewa Caf Champions League na Pot 2 zile zilizofuzu Caf Confederation Cup.

>Zilizotolewa Caf Champions League Kuanzia Nyumbani (home) Mechi za mkondo wa kwanza kuchezwa April 6-8 huku zile za marudiano zitachezwa April 16-18.

>Timu 16 ambazo zitafuzu hapa zitaingia moja kwa moja kwenye makundi ya kombe la shirikisho (Caf Confederation Cup)


Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.