Juuko Murshid tena ndani ya msimbazi.



Beki kisiki wa Simba aliyekuwa katika mipango ya moja kati ya timu inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika kusini, amerejea jiji Dar as Salaam tayari kukiongezea kikosi hicho cha msimbazi nguvu.

Beki huyo ambaye bado anamkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara amerejea baada ya dili lake hilo kukwama.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.