Timu 16 ambazo zimefuzu kucheza Play Off kutoka Caf Confederatin Cup.


1-La Mancha (Congo Brazzavile)
2-Super Sport United (Afrika kusini)
3-Belouizdad  (Algeria)
4-Djoliba (Mali)
5-RSB Berkane (Morroco)
6-Raja Casablanca (Morocco)
7-Hilal Obayed (Sudan)
8-Al Masry (Misri)
9-Fosa Juniors (Madagascar)
10-CARA Brazzavile (Congo Brazzaville)
11-Costa do Sol (Msumbiji)
12-Akwa United (Nigeria)
13-Deportivo Niefang (Equatorial Guinea)
14-Enyimba (Nigeria)
15-Welayta Dicha (Ethiopia)
16-USM  Alger (Algeria)

>Draw ya Play Off kati ya timu zilizotolewa Caf Champions league vs Caf Confederation Cup kufanyika Jumatano march 21 Cairo Misri kuanzia majira ya saa 8:30 mchana.

>Timu 16 hizi zitacheza na timu 16 zilizotolewa Caf Champions League ili kupata timu 16 ambazo zitaingia makundi ya kombe la Shirikisho (Caf Confederation Cup)

-Mechi za mkondo wa kwanza kuchezwa  April 6-8 na zile za marudiano kuchezwa April 16-18 ila waliotolewa kwenye Caf Champions League wataanzia nyumbani (Home) mechi zao.

NB:- Hizi ndio timu ambazo zinaweza kukutana na muwakilishi wa Tanzania klabu ya Yanga Sc ungetamani mabingwa wa Tanzania wakutane na timu ipi?


Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.