Zahera kuondoka Yanga baada ya mechi dhidi ya Rayon Sports sababu hii hapa.
-Kocha mkuu waa Yanga, Mwinyi Zahera baada ya mchezo wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports utaochezwa keshokutwa Jumatano saa 10:00 jioni katika dimba la Nyimirambo Rwanda ataunganisha safari ya kwenda Congo kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya DRC Congo.
-Zahera bado ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya DRC Congo na timu hiyo inaingia kambini kuanzia August 30 kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwa Afcon 2019 dhidi ya Liberia mchezo utakaofanyika September 09. Baada ya mchezo wa Rayon klabu ya Yanga watarudi Tanzania kucheza mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC September 02 katika dimba la CCM Kambarage Shinyanga.
-Hata hivyo Kocha Zahera tangu ajiunga na Yanga mwishoni mwa April mwaka huu hajawahi kukaa kwenye Bechi la timu hiyo kutokana na kukosi kibali na kikosi hicho kwa sasa kinaongozwa na Mzambia Noel Mwandila ambaye ni kocha wa Viungo wa klabu hiyo.

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.