Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara TPL leo 26.08.2018


Mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya mpapaso square kwa timu Ruvu shooting leo hii timu hiyo inatarajiwa kushukua dimba kuwakabilisha wageni wa ligi KMC kutoka Kinondoni.

Ratiba kamili ya  ligi kuu Tanzania:- Tanzania Premier League.
14:00 Ruvu Shooting vs KMC
16:00 Mtibwa Sugar vs TZ Prisons
16:00 JKT Tanzania vs Lipuli FC
16:00 Stand United vs Mbao FC

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.