Azam Baada Ya Kagera Sugar Sasa Zamu Ya?..
Klabu ya Azam fc inatarajiwa kushuka dimbani Ijumaa ya wiki hii kuwakabili klabu ya Lipuli Fc ya mjini Iringa katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara m.
Mchezo huo ambao utakuwa wa raundi ya 19 ya ligi hiyo unafuata mara baada ya matajiri hao wa jiji la Dar es salaam, Azam fc kutoka kutoka sare ya kutoshana nguvu ya goli 1-1 dhidi ya wakata miwa wa mkoani Kagera, Kagera Sugar.
Baad ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar, sasa akili na nguvu zetu zote tumezielekeza kwenye mchezo ujao dhidi ya Lipuli utakaofanyika Uwanja wa Samora, Iringa Ijumaa hiiAzam ambao kwa sasa wapo katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 34 sawa na Yanga ambao wapo katika nafasi ya pili kwa tofauti ya magoli.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.