DONDO ZA SOKA NA TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO ALHAMISI
👉Rasmi Neymar atakua nje ya Uwanja kwa kipindi cha miezi miwili akiuguza jeraha lake huku ikielezwa kuwa Madaktari wa brazil na Psg wamekubaliana kuwa nyota huyo afanyiwe upasuaji mdogo huko nchini Brazil.
👉Gattuso mimi bado sijawa kocho bora kwa sasa sistahili sifa hizo bado sijawa na mafanikio makubwa katika timu hii .
👉Euro million 100 kumondoa Grizaman Atletico madrid , taarifa za kunyapia nyapia ni kuwa nyota wa klabu ya soka ya Atletico madrid amekubali dili la kujiunga na Fc barcelona katika majira ya kiangazi kwa dau tajwa hapo juu.
👉Klabu ya Arsenal imetenga dau la Euro million 57 kwa ajili ya kunasa saini wa beki wa klabu Atletico madrid Jose Gimenez katika majira ya kiangazi
👉Mzee wenger alalama kuulizwa lini atachia ngazi katika klabu ya Arsenal amesema hakuna swali ambalo amechoka kuulizwa kama hilo akizungumza na wanahabari mzee wenger amesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa leo yamekamilika .
👉Atletico madrid yapiga nne bila laliga imeendelea jana kwa kupigwa michezo kadhaa Atletico madrid wameichapa leganes magoli nne kwa mtungi magoli yote manne ya atletico madrid yamefungwa na Grizman hapo jana usiku .
👉Uongozi wa klabu ya soka ya Manchester united umesema kuwa unajipanga kupanua uwanja wake unaobeba mashabiki 75,000 hadi 88,000 .
👉Arsenal imehusishwa kuwinda saini ya kocha wa klabu ya Hoffenheim Julian Nagelsmann ili aje awe mrithi wa wenger endapo ka ataondoka katika klabu hiyo.
👉Klabu za Arsenal na Manchester city zimehusishwa kuwinda saini ya mchezaji wa klabu ya Psg Yacine Adli Katika majira ya Kiangazi .
👉klabu ya soka ya manchester united imeelezwa kuwaongezea mikataba wachezaji wao wawili yaani Ashel Young na Daley Blind imeelezwa wamesaini kandarasi mpya itakayo waweka klabuni hapo hadi mwaka 2019.
👉Klabu ya soka ya Westham united pamoja na vilabu vya Evarton leicester city vimehusishwa kuwinda saini ya beki wa klabu ya westbrom John Evance katika majira ya kiangazi .
👉Kocha wa klabu ya soka ya manchester united jose mourinho amesema atasajili viungo wakabaji wawili katika majira ya joto viungo hao ni
Hawa hapa
1 Jean Michael Seri 👉 Nice
2 Sergej Milinkovic-
3 Savic 👉 Lazio
4 Jorginho 👉Napoli 5 Toni Kroos 👉 Real Madrid
6 Victor
wanyama 👉Tottenham
7 Willian👉Chelsea
Hawa hapa
1 Jean Michael Seri 👉 Nice
2 Sergej Milinkovic-
3 Savic 👉 Lazio
4 Jorginho 👉Napoli 5 Toni Kroos 👉 Real Madrid
6 Victor
wanyama 👉Tottenham
7 Willian👉Chelsea
👉Uongozi wa klabu ya bayern Munich umesa unampango wa kumwongezea mkataba mchezaji jemes rodriguez ili abaki katika klabu hiyo .
👉Klabu ya Evarton inamatumaini ya kunasa saini ya beki wa klabu ya Ac milan David Calabria katika majira ya kiangazi
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.