TANZANIA PRISONS CLUB HISTORY



Tanzania Prisons SC ni klabu ya soka ambayo ipo mkoani Mbeya nchini Tanzania, inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, michezo yake ya nyumbani huwa inatumia Uwanja wa Sokoine uliopo Jijini Mbeya. Timu hiyo inamilikiwa na Jeshi la Magereza.

MAFANIKIO:

KOMBE LA MUUNGANO: 1
1999

Hii ilikuwa michuano ambayo ilihusisha timu za Tanzania Bara na Zanzibar, ilihusisha timu tatu zilizoshika nafasi ya juu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Ligi Kuu ya Zanzibar, mshindi wa hapo ndiye aliyepata nafasi ya kuwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa.

LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF)
Ilishiriki mara moja ikaishia hatua ya awali, mwaka 2000.

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF)
Imeshiriki mara mbili
2005 – Hatua ya awali
2009 – Hatua ya awali

BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu: Abdallah Mohamed (Baresi)
Kocha Msaidizi:Hassan Mutego
Kocha wa Makipa: Denis Edwin
Daktari wa Timu: Kilulu Masunga
Meneja wa Timu: Erasto Ntabahanyi
Mtunza Vifaa: Lugano Mwangama

NB;
Katibu wa Timu: Havinitishi Abdallah

KIKOSI CHA SASA CHA TANZANIA PRISONS

1. Aron Kalambo (GK)
2.Moses Matulanga(GK)
3.Hassan Mshamu(GK)
4.Laurian Mpalile (CAPTAIN)
5.Benjamin Asukile (Ass/CAPTAIN)
6.Freddy Chudu(Mid)
7.Jumanne Elfadhili(Mid)
8.Abdallah Juma(Fwd)
9.Salum Kimenya(R/bake)
10.Leons Mutalemwa(L/bake)
11.Joseph Mapalala(Mid)
12.Nurdin Chona(C/bake)
13.Julius Kwanga(Mid)
14.Hamis Maingo(Fwd)
15.Boniface Hau(L/bake)
17.Adam Chimbongwe(Mid)
18.Salum Bosco(Fwd)
19.Japhet Mhango(Fwd)
20.Lambert Sabiyanka(Mid)
21.Michael Ismail(R/bake)
22.Dotto Shaban(Mid)
23.Sharifu Mkangala(Mid)
24.James Mwasote(C/bake)
25.Kazungu Nchinjayi(Mid)
26.Kasimu Hamis(Mid)
27.Mohamed Rashid(Fwd)
28.Rito Ngwale(Fwd)
29.Eliuter Mpepo(Fwd)


Join us on WHATSAPP
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.