Posti Ya Haji Manara Mara Baada Ya Yanga Kufungwa Na Township Rollers.
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara ametuma kombora kwa watani wao, Yanga mara baada ya klabu hiyo yenye makao yake mitaa ya Jangwani baada ya kipigo ilichokipata .
Yanga ambayo hapo jana ilishuka dimbani kuwakabili Township Rollers ilikubari kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa Wabotswana hao.
Sasa kutokana na matokeo hayo Manara amefunguka kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika ujumbe huu.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.