Madrid Yaifungashia Vilago PSG UEFA Na Liverpool Wasonga Mbele Huku Ronaldo Akiweka Rekodi Nyingine.


Baaa ya ushindi wa magoli 5-0 iliyoyapata klabu ya Liverpool Ugenini katika mchezo wa awali wa UEFA dhidi ya FC Porto klabu hiyo imefanikiwa kusonga mbele baada ya sare tasa iliyoipata .

Na kwa upande wa mchezo uliokuwa ukingojewa na mashabiki wengi ni ule kati ya PSG ja Real Madrid ambapo Madrid imefanikiwa kusonga mbele kwa kuichapa PSG goli 2-1 na kuitupilia nje PSG kwa jumla ya goli 5-2 .

Magoli ya Madrid yamefunga na Christian Ronaldo na La pili likifungwa na Casemiro

Kwa upande wa rekodi ya Ronaldo amefikisha magoli 102 katika michezo 96 akiwa na klabu ya Real Madrid.


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.