DEAL DONE: Liverpool Yakamilisha Usajili Wa Kinda Elijah Dixon- Bonnerr

Klabu ya Liverpool FC imethibitisha kukakilisha usajili wa kinda Elijah Dixon-Bonner ambaye amesaini mktaba wake wa kwanza kwenye klabu.

Kinda huyo mwenye miaka 17 kwa sasa, alikiongoza kikosi cha timu ya taifa ya uingUinge chini ya miaka 16 akiwa kama nahodha akitokea kunako accademy ya Arsenal mnamo mwaka wa 2015.


Hata hivyo kinda huyo ameonyosha kufurahishwa na tukio hilo na kuonyesha furaha yake kupitia ukurasa wake wa twitter akisema amefurahishwa na tukio la kusaini mktaba wake wa kwanza na klabu hiyo ya majoo wa London.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.