Droo Ya 16 Bora Europa League Yamtupa Arsenal Mikononi Mwa Ac Millan


Droo ya kupanga timu 16 zilizofuzu kucheza hatua hiyo katika michuano ya Europa League imefanyika leo Feb 23.2018 na kuitupa klabu ya Mzee Wenger mikononi mwa vijana wa Gatuso(Ac Millan).

Mechi za kwanza zitapigwa Machi 8 na mechi za marudiano zitapigwa Machi 15( mechi zote zitakuwa siku ya Alhamisi)


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.