Beki Wa Zamani Arsenal Ampikua Neymar
-Mlinzi wa zamani wa Arsenal, Mathieu Debuchy ambaye kwasasa anaichezea Saint-Étienne ya nyumbani kwao Ufaransa usiku wa kuamkia leo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligue 1 kwa mwezi Februari.
-Debuchy (32) aliyefunga mabao mawili kwenye michezo sita ilitopita ya Ligue 1ametwaa tuzo hiyo akimbwaga staa wa PSG, Neymar Jr na Benjamin Lecomte ambao waliingia tatu bora.
-Katika mwezi wa Pili (Februari) Saint-Étienne ikiwa na Debuchy ilicheza michezo sita ikishinda michezo minne na kutoka sare michezo miwili huku Debuchy akifunga mabao mawili.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.