20 Yanga Waifuata Township Rollers...


Nyota 20 wa klabu ya Yanga wameondoka nchini kuelekea Gaborone nchini Botswana kuwavaa mabingwa watetezi wa ligi kuu huko, Township Rollers katika mchezo wa marudiano baina ya timu hizo mbili wa michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika.

Nyota hao wameambatana na viongozi 11 wa timu  na wameondoka usiku wa leo kwa ndege hadi Addis Ababa na kisha kuunganisha moja kwa moja mpaka Botswana.

Kikosi hicho ni
1:Ramadhani Kabwili
2:Beno Kakolanya
3:Youthe Rostand

MABEKI
4:Hassan Kessy
5Juma Abdul
6:Mwinyi Mngwali
7:Gadiel Michael
8:Nadir Haroub ‘Cannavaro’,
9:Patto Ngonyani
10:Kelvin Yondani.

VIUNGO
11:Said Juma ‘Makapu’,
12:Thaban Kamusoko
13:Pius Buswita
14:Raphael Daud

WASHAMBULIAJI
15:Yussuf Mhilu
16:Ybrahim Ajibu
17:Said Mussa
18:Emmanuel Martin
19:Geoffrey Mwashiuya
20:Juma Mahadhi. 


Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.