Samatta Aadhimisha Mwaka Mmoja Wa Unahodha Stars
Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita Kocha mkuu wa Taifa Stars Salumu Mayanga alimteua mshambuliaji wa kimataifa, Mbwana Samatta anaeichezea klabu ya KRC Genk ya Uberigiji kua nahodha wa kikosi cha timu ya taifa Taifa stars.
Katika uteuzi huo Samatta aliteuliwa kuwa Nahodha mkuu hasa pale timu itakapokua ikicheza michuano yote isipokua ile inayo husisha wachezaji wa ndani.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.