SINGIDA WAKANUSHA LYANGA KUFUNGIWA
-Uongozi wa klabu ya Singida United kupitia kwa mkurungezi wa Klabu hiyo, Sanga umekanusha kufungiwa na Fifa Mshambuliaji wao Danny Lyanga
-Sanga Amedai wakati wanamsajili lyanga waliwasiliana na Fanja Fc wakafikia makubaliano na wakawalipa Fedha ambayo walikuwa wanataka kama Ada ya Usajili na Fanja wakawaruhusu Singida United wamtumie mchezaji huyo tatizo ni ITC yake ambayo ilichelewa na dirisha likawa limefungwa.
-Sanga amesema
"Tatizo la Danny Lyanga tulichelewa kupata ITC yake na dirisha likawa limefungwa na ITC yake bado iko Fanja na tunategemea mwezi wa saba Fanja watairuhusu kuja Singida United na tutamtumia mshambuliaji huyo msimu ujao narudia tena Danny Lyanga hajafungiwa na FIFA"
Alisema Mkurungezi Sanga
-Pia Sanga ametoa wito kwa vyombo mbalimbali vya habari kuacha kutoa habari kutoka vyambo mbalimali bila hata wao Singida kuulizwa
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.