Dismas Ten Awachana Simba Kwenye Mkutano Na Waandishi Wa Habari.


Afisa habari wa Yanga, Dismas Ten amewachana Simba kutokana na kigezo cha utajiri ambacho wamekuwa wakikitumia huku akidai kuwa hivyo sivyo soka lilivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari hapo jana Ten alisema timu ziache kujivunia utajiri zilionao na badala yake zifukuze kile ambacho zinahitaji kupata kwa ajili ya maslahi ya vilabu vyenyewe.


"Tuache kujisifia utajiri tulionao ambao bado sio wa kwetu, tufukuze kile ambacho tunahitaji kukipata kwa ajili ya maslahi ya vilabu vyetu."

"Mpira una njia yake  ni lazima tukubali na ni lazima tuambizane ukweli"

"Mpira hauhitaji blaa blaa"

"Tusiwadanganye watu, tuwaambie watubukweli, tuwafundishe watu kuzipenda timu zao kutoka moyoni"


"Hiyo ndio tafsiri halisi ya mpira"..



Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.