Baada ya kuindosha St. Louis fc kwenye michuano ya kkabu bingwa (CAF champions league), kikosi cha klabu ya Yanga kinatarajia kutua Dar, usiku wa leo tayari kwa safari ya Songea kwa ajili ya mchezo dhidi ya Majimaji Fc kwenye kombe la ASFC siku ya jumapili.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.