Taarifa Mpya Zilizotufikia Hivi Punde Kutoka Simba Leo 22.02.2018


Kikosi cha Simba kuanza mazoezi kesho kujiandaa na Mbao FC

Kikosi cha Simba kesho jioni kitaanza tena mazoezi tayari kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mbao FC.

Mazoezi kesho jioni yataanza saa 10:00 katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.