+VIDEO: Kikosi Cha Simba Kilivyo Wasili Nchini Na Kauli Ya Kocha Djuma..
kikosi cha Simba kilichokuwa nchini Djibout kwa ajili ya mchezo wa marudiano Kombe la Shirikisho Barani Afrika, kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari uwanjani hapo, kocha msaidizi wa timu hiyo Masoud Djuma amesema kila kitu kilikwenda vizuri nchini Djibout huku akigoma kuwazungumzia wapinzani wao wa michuano hiyo ya Afrika, Al Masry kutoka nchini Misri.
Djuma aliongeza kwa kusema hali ya John Bocco inaendelea vizuri
TAZAMA FULL VIDEO HAPA>>>>
Djuma aliongeza kwa kusema hali ya John Bocco inaendelea vizuri
TAZAMA FULL VIDEO HAPA>>>>
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.