Nyoni Rasmi Kuwakosa JS Saoura, Huu Hapa Muda Atakao Kaa Nje Ya Uwanja.

Kwa mujibu wa taarufa kutoka Simba zilizotufikia hivi punde ni kuwa beki Kiraka wa jlabu hiyo, Erasto Nyoni atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu kufuatia majeraha ya goti aliyoyapata katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya KMKM hapo jana.

Kwa mantiki hiyo Nyoni ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura unaotarajiwa kuchezwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam January 12.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.