TANZIA: Mtoto Wa Cannavaro Afariki Dunia
TANZIA
Nahodha wa Nadir Haroub ‘ Canavaro ‘ akiwa visiwa vya Ushelisheli amepata msiba wa mwanae Anwar Nadir Ally aliefariki mapema leo asubuhi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya matatizo ya damu
Uongozi wa Yanga SC kwa ujumla chini ya Kaimu Mwenyekiti inatoa pole kwa Nahodha wetu pamoja na familia yake kwa ujumla kwenye kipindi hiki kigumu.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.