AMKA NA HAB HIZI KUTOKA VIWANJANI ALHAMIS YA 22.02.2018.


KITAIFA
👉Raisi wa shirikisho la soka duniani Gian ifantino tayari amewasili nchini imeelezwa kuwa Raisi huyo ataenda ikulu kukutana na Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Raisi John pombe Joseph Magufuli ,Karibu nchiniTanzania Ifantino .

👉Yanga sc yasonga mbele klabu bingwa hii ni baada kutoka sare ya goli moja kwa moja dhidi ya st louis , sasa rasmi Yanga kukutana na wabostwana  Township Rolers ya Botswana hatua inayofuata Rolers imefungwa 2-1 na El Merrikh jana lakini  Ushindi wa goli 3-0 iloupata hapo awali umewabeba wa bostwana hao.

👉Njombe mji yafanya kweli wananjombe wapagawa , klabu ya soka ya Njombe mji  jana imefanikiwa kutinga hatua inayofata ya kombe la Asfc baada ya Kuichapa Mbao fc penati 6-5 baada ya dakika 90 kukamalika kwa sare ya 1-1 .

👉Baada ya ushindi wa hapo jana afisa habari wa klabu ya  soka ya Njombe mji amesema anashukuru kuona timu ikifanya vizuri huku mabadiliko yakianza kuonekana  alisema solanus mhagama .

👉Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania bara klabu ya soka ya Yanga imesema kuwa Vijana wao watawasili leo   kutoka usheli sheli , uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa mara baada ya kuwasili nchini timu itaelekea mjini Songea kwa ajili ya kujindaa na mchezo wa Asfc dhidi ya Maji Maji .

👉Mnyama Simba kuwasili leo  nchini akitokea  huko Djbout akizungumza kwa njia ya simu Haji s manara amesema kuwa tayari washaiona ratiba yao  sasa wanajipanga kukipiga na waarabu  Simba sc itamenyana na Almasry katika dimba  la uwanja wa Taifa Jumanne tarehe 6 mwezi wa tatu  .

👉Haruna Niyonzima aanza kufanyiwa vipimo huko India Niyonzima aliumia enka hali iliyomfanya aende india kufanyiwa vipimo na matibabu  .

👉Wawakilishi pekee wa Zanzibar katika mashindano ya klabu Bingwa na shirikisho  barani Africa klabu ya Jku pamoja na zimamoto zimetupwa nje ya mashindano hayo, Jku imeondoshwa katika mashindano hayo baada ya kupokea kichapo cha goli 7-0  huku Zimamoto wao wakifungwa  goli moja na kutupwa nje ya michuano hiyo .

👉Kocha Julio asema  kuwa wamejipanga katika kombe la Asfc  anayekuja mbele yake ajipange kwani wao kama dodoma fc wamepanga kupambana ili kusonga mbele katika kikombe hicho .

👉Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya klabu ya soka ya  Simba nyota Juma luzio ndanda ameomba kuondoka katika klabu hiyo nyota huyo imeelezwa kuwa hanafuraha  katika klabu hiyo tayari ashaomba kuondoka katika klabu hiyo .

 SOKA KIMATAIFA
👉Usiku wa ulaya umeendelea jana kwa kupigwa michezo miwili kule spain Sevillla  wametoka sare tasa  na Manchester united .

👉Roma hoi yapokea kichapo cha goli 2-1 kutoka kwa Shaktar Donestick ,  Roma walikua wa kwanza  Kupata bao kupitia kwa nyota wao Cengiz under dakika ya 41 ya mchezo, shaktar walipata goli la kwanza dakika ya 52 likifungwa na ferreyra huko goli la ushindi la shaktar likifungwa dakika ya 71ya mchezo .

👉Difaa ya akina msuva yasonga mbele katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika  baada ya kutoka sare na Benfica Bissau , Difaa Hassani El Jadidi katika mchezo wa awali ilishinda goli 10-0 .

👉Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya ubelgiji amesema mwezi june watacheza mchezo wa kirafiki na ureno  kujiandaa kombe la dunia mwezi wa sita .

👉 Mchezaji wa sevilla Joaquin Correa  amekili kuwa bila degea kuwa imara basi  timu  yake ingepata ushindi  degea alisimama imara langoni na kuisaidia Manchester united kutoka sare na Sevilla.

👉Kocha Jose mourinho amesema kuwa mchezo wa jana ulikua  mgumu sana kwao na wanashukuru kupata  hata hiyo sare .

👉Kocha mkuu Arsenal wenger amesema kuwa atamshawishi nyota wake danny welbeck asaini kandarasi mpya ili aendelee kuitumikia Arsenal .

MATOKEO YA SOKA JANA
★Uefa Champions League
FT Sevilla 0 - 0 Manchester United
FT Shakhtar Donetsk 2 - 1 Roma

★Uefa -Europa  League
FT CSKA Moscow 1 - 0 FK Crvena Zvezda

★England - Champion ship
FT Bristol City 1 - 1 Fulham
FT Derby County 2 - 2 Leeds United
FT Ipswich Town 0 - 1 Cardiff City
FT Wolverhampton Wanderers 2 - 2 Norwich City

★Spain - LaLiga Santander
FT Leganes 1 - 3 Real Madrid

★Africa - Champions League:: qualification
FT Pamplemousses 1 - 0 Bidvest Wits
FT Be Forward FC 1 - 2 AS Vita Club
FT Kampala CCA 1 - 0 CNaPS Sport
FT LLB Academic 0 - 1 Rayon Sports
FT Platinum FC 1 - 2 Primeiro de Agosto
FT UD Songo 2 - 0 Ngaya Club
FT ZESCO United 7 - 0 JKU FC
FT Louis Suns United 1 - 1 Young Africans
FT Benfica Bissau 0 - 0 Difaa Hassani El Jadidi
FT Mbabane Swallows 1 - 3 Bantu
FT Eding Sport 0 - 1 Plateau United FC
FT Mounana 2 - 0 RC Kadiogo
FT Aduana Stars 2 - 0 Al Tahaddi
FT Mountain of Fire and Mira... 1 - 0 Real Bamako
FT ASEC Mimosas 3 - 2 Buffles de Borgou
FT Esperance Sportive de Tu... 5 - 0 Concorde
FT Leones Vegetarianos 1 - 1 Gor Mahia
FT Horoya 0 - 0 AS FAN
FT Misr Elmaqasah 0 - 0 Génération Foot
FT Al Merrikh 2 - 1 Township Rollers
FT MC Alger 9 - 0 Otôho d'Oyo

★Africa - Confederations Cup:: preliminary round
FT SOM Fosa FC 0 - 0 Leopards
FT Welayta Dicha 1 - 0 Zimamoto
FT Maniema Union 1 - 1 Mangasport
FT Jwaneng Galaxy FC 0 - 1 Costa do Sol
FT Sahel FC 0 - 3 Al-Ittihad
FT Etoile Filante 0 - 1 Olympic Star
FT Nouadhibou 1 - 0 Africa Sport d’Abidjan
FT Mbour Petite Côte 1 - 1 RSB Berkane
FT Real de Banjul 0 - 2 Akwa United

★South Africa - Premier League
FT Mamelodi Sundowns FC 1 - 1 Free State Stars

★Azam Sports Federation Cup
FT Njombe Mji 1-1 Mbao fc
p(6-5)

RATIBA YA SOKA LEO

★International - Club Friendlies
12:00 Dinamo Moscow Vs Baltika 14:00 Kristiansund BK Vs  Bodoe/Glimt
16:30 Dinamo Moscow Vs FK Akhmat
18:00 Rosenborg Vs FC Krasnodar
20:00 Molde Vs Vaalerenga

★Europa League - Round of 32
19:00 Lokomotiv Moscow Vs Nice 21:00 Atletico Madrid Vs FC Koebenhavn
21:00 Dynamo Kyiv Vs AEK Athens
21:00 Lazio Vs FC FCSB
21:00 RasenBallsport Leipzig Vs SSC Napoli
21:00 Sporting CP Vs FC Astana
21:00 Viktoria Plzen Vs Partizan Beograd
21:00 Villarreal Vs Lyon
21:00 Zenit St. Petersburg Vs Celtic 23:05 AC Milan Vs Ludogorets Razgrad
23:05 Arsenal Vs Oestersunds FK .
23:05 Atalanta Vs Borussia Dortmund
23:05 Athletic Bilbao Vs Spartak Moscow
23:05 Braga Vs Marseille
23:05 Salzburg Vs Real Sociedad

★Egypt - Premier League
18:00 Al-Ittihad Al-Sakandary Vs ENPPI
21:00 Al Nasr Vs El Zamalek

©2018 Chris Agstine

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.