Matokeo VPL: Stand United vs Mbao Fc
FT Stand United 0-1 Mbao Fc
10' Yusuph Ndikumana (p)
-Mbao Fc wameshinda mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara na kufikisha Pointi 30 ambazo zinawaweka kwenye nafasi nzuri ya kutoshuka daraja
Msimamo wa timu za Mwisho
10-Kagera Sugar =31
11-Mwadui Fc =30
12-Mbeya City =30
13-Mbao Fc =30
14-Majimaji =24
15-Ndanda Fc =23
16 Njombe Mji =22
-Mwadui Fc imecheza mechi 27 huku timu zingine zimecheza mechi 28.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.