LIVE - MSEMAJI WA SIMBA SC HAJI MANARA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

Muwekezaji aliyeshinda tenda ya kuwekeza kwenye klabu ya simbasctanzania , ameridhia kuchukua asilimia 49 ya hisa kwa mujibu wa matakwa ya kiserikali Haji Manara 
Fuatilia mkutano wa Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba unakujia mbashara kupitia .

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.