Bodi Ya Ligi Yamfungulia Yondani


Bodi ya Ligi nchini imemruhusu mchezaji Kalvin Yondani kucheza mechi za ligi baada ya adhabu yake ya kumtemea mate mchezaji Asante Kwasi wa Simba kuisha.

-Yondani alisimamishwa kucheza mechi za ligi kuu Tanzania Bara (vpl) na kamati ya masaa 72 na suala lake kupelekwa kamati ya Nidhamu na maadili ambayo nayo haikutoa hukumu baada ya Kelvin Yondani Kutotokea.

-Yondani tangu asimamishwe amekosa michezo mitano dhidi (Tz Prisons, Mtibwa, Mwadui, Mbao na Ruvu Shooting) mchezo wa leo wa Yanga dhidi Azam, Kelvin Yondani naruhusiwa kucheza.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.