DEAL DONE: ADAM SALAMBA ASAINI RASMI MIATABA SIMBA.
Simba hii hakuna kulemba aisee, Yule nyota wa Lipuli aliyekuwa akitrend kwenye mitandao mbali.bali ya kijamii huku akihusishwa na tetesi za kujiunga na wanajangwani hatimae ameangukamezani mwa msimbazi.
Kwa mujibu wa taarifa zinaeoeza kuwa mshambuliaji wa klabu ya Lipuli fc Adam Salamba amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba kwa miaka mitatu
Makubaliano hayo yamefanyika mbele ya kaimu Rais wa klabu hiyo Salim Abdallah ‘Try Again’.
Baadae Salamba alipata nafasi ya kuonana na Mohamed Dewji, Bilionea anayetarajia kuwekeza ndani ya Simba kitita cha Sh bilioni 20.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.