Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye Soka
Na Hasrall_kiba
Tanzania tuna safari ndefu sana tena zaid ya sana,,,nimeangalia michezo miwili ya yanga dhidi ya township,,, nimeangalia michezo miwili ya simba dhidi ya Almasry kiukweli tunasafari ndefu sana sana sana,,,,Leo hii ukiuliza mafanikio ya vilabu hivi viwili kwenye mashindano ya kimataifa mtu atakuambia mwaka 19....! Tuliingia hatua ya makundi,,,mwengne atakuambia mwaka 19....! Tulicheza fainali,,,,OMG eti haya ndio mafanikio makubwa kwa vilabu hivi vilivoanzishwa 1935,1936,,, Kwa idadi ya miaka ya vilabu hivi ilitakiwa kila club iwe imechukua angalau ligi ya mabingwa Mara 5 na shirikisho japo Mara 7 hapa nadhani tungekua tumepiga hatua sana,,, Lazima hivi vilabu vitafute njia mbadala ya kuhakikisha tunasonga mbele kimaendeleo na sio kuwa na viongozi waongeaji hovyo tu bila malengo,,,, Simba na yanga ni timu ambazo zina mtaji wa mashabiki ilitakiwa viongozi wa simba na yanga wakae pamoja na kujua huu mtaji wa mashabiki wetu tunautumiaje ili tuweze kupata fedhwa ambazo zinaweza kutusaidia kuendesha club zetu,,,,Leo hii simba na yanga baada ya utani wa jadi tumekua maadui wa jadi,,,kiongozi wa simba yupo radhi kumuona kiongozi wa yanga anadhalilika na kwa yanga vivo hivo,,,,halafu hapo hapo tunataka tupige hatua kimataifa,,, Leo anasimama kiongozi wa yanga anawambia mashabiki hakuna kwenda kwenye game ya simba dhidi ya Almasry na hata tukienda basi ni kuwazomea tu na viongozi wa simba nao wanajibu mapigo kwa wanachama wao kwa kuhamasisha waende kuizomea yanga wanapocheza na timu za nje,,,,baadae tunataka kupiga hatua kimataifa,, Siamni kua wale mashabiki waliokua wamejaza uwanja jana simba dhidi ya Almasry kua wale wote ni mashabiki wa Almasry,,,,Tanzania kama tutafikia hatua kama hile basi huo ndio mwanzo wa kupiga hatua,,,,vingnevo basi tutaishia history za kuingia fainali na kuishia kwenye makundi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU WABARIKI WATANZA.🙏🙏🙏
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.