Mkude Aumia Jioni Hii Akiwa Mazoezini.
Kwa sasa hali yake inaendelea vizuri ambapo kesho Daktari wa kikosi cha Simba atatoa ripoti kamili baada ya vipimo zaidi.
Simba ipo mazoezini ikijiwinda na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Njombe Mji mchezo unaotarajiwa kupigwa tarehe 03 mwezi aprili.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.