MAKALA: Township Rollers na Al Masry wametupa somo hili....
Na Samwel Samwel
Township Rollers na Al Masry wametupa somo ya kuutumia uwanja wa nyumbani vyema. Ustaarabu na ukarimu wetu uendana na vitendo halisi ndani na nje ya uwanja sivyo mpaka kizazi cha tano tutabaki kutambiana kwa aina ya vifo vya KUFA KIUME AU KUFA KISHUJAA
Yanga wamepoteza nafasi ya kuingia hatua ya makundi klabu bingwa Afrika na shilingi bilioni 1.5
Simba imepoteza nafasi ya mtoano Shirikisho kuingia hatua ya makundi na shilingi milioni 660.
Tumeanza kuwa na matokeo mazuri ugenini hivyo lazima tujipange na nyumbani ili kuweza kusonga mbele.
Tukiendelea kuchekana kwa hekaya za Pwagu na Pwaguzi basi tutaendelea kujipanga kila mwaka. Leo tungefanikiwa kuvuka hatua hizi ni dhahiri tungekuwa tumeitambulisha vyema Afrika mashariki CAF.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.