Nimekusogezea hapa ratiba ya ASFC..
Mchezo wa kwanza utakuwa kati ya Stand United dhidi ya Njombe Mji mchezo utakaopigwa mnamo tarehe 30/03 majira ya 16:00 jioni.
Mchezo wa pili ni ule wa Tanzania Prisons dhidi ya JKT Tanzania na utapigwa tarehe 31/03 saa 16:00 jioni.
Mtanange mwingine ni kati ya Azam fc dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa mnamo tarehe
31/03 majira ya saa 19:00 usiku.
Michezo hiyo itakamilishwa na mpambano kati ya Singida Uinted watakao wakaribisha Yanga mnamo tarehe 01/04 saa 16:00 jioni
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.