Hatimaye Ndoto Ya Msuva Yatimia Mwenyewe Aandika Ujumbe Huu..



 Ndoto ya mshambuliaji wa Tanzania anayekipiga kunako klabu ya Difaa El Jadida, Simon Msuva kucheza hatua makundi klabu bingwa Afrika imetimia mara baada ya Klabu yake  kufuzu hatua hiyo ya makundi klabu bingwa Afrika baada ya kuwaondosha AS Vita ya DR Congo.

Licha ya matokeo iliyoyapata ya goli 2-2 iliyoyapata klabu yake katika mchezo wa marudiano  Difaa El jadida imefanikiwa kusonga mbele kutokana na  Ushindi wa 1-0 nyumbani kwa goli alilofunga Saimoni Msuva na kuwakndosha wakongomani hao kwa Aggregate 2-3.

Matokeo hayo yamemfurahisha sana Msuvu na kuandika ujumbe ambao unadhidilisha wazi kuwa ndoto yake imetia licha ya kuwa bado anahitaji mafanikio mengine zaidi.

#Asante Mungu kwa nafasi nyingine sasa ni hatua ya makundi Dua zenu. Nadhani ni wakati Mzuri wa mimi Kukua na kosegea Ehh Mungu nisaidie

Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.