Dismas Ten Baada Yanga Kumfikia Myama Aandika Haya..


Afisa habari wa klabu ya Yanga,Dismas Ten ameongeza presha kwa mashabikiwa Simba mara baada ya timu yake kufikisha pointi sawa na wapinzani wake, Simba sc.

Ten kupitia ukurasa wake wa instagram ameandiku ujumbe unaoonyesha akiwanyamazisha mashabiki na watu wanaopiga kelele na kudai tayari wameshamkata.

Ujumbe huo ni ishara tosha ya kuwa tayari wamemfikia mnayama Simba ambaye kwa sasa anaongoza ligi kwa idadi ya magoli licha ya kuwa pointi sawa na Yanga 46.

A post shared by Dismas Ten (@dismasten) on


Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.