Azam Fc Yaendelea Kujinoa Kuelekea Mechi Dhidi Ya Mtibwa Sugar.

Join us on WHATSAPP

Jeshi la Azam FC, linaendelea kujiweka sawa kila siku likijiandaa na mchezo muhimu ujao dhidi ya Mtibwa Sugar.

Vijana wako vema mazoezini na wamekuwa wakipokea vema maelekezo ya benchi la ufundi chini ya Mromania, Aristica Cioaba.







Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.