PICHA: KILICHOJIRI BOTSWANA WALIPO YANGA LEO...

Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika dimba la Taifa la Botswana kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Township Rollers utakaopigwa kwenye dimba hilo kuanzia saa 10:45 jioni.

Ni mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza kuwania Kombe la Mabingwa Barani Afrika unaochezwa baada ya kushudiwa kwa mchezo wa awali uliopigwa Uwanja wa Taifa wa Tanzania Yanga akipoteza kwa goli 2-1.

Ikumbukwe kwamba mchezo  utakaokuwa LIVE kupitia kituo cha televisheni cha AzamSports2 .


Picha:Kikosi cha Yanga leo  kikiendelea kupasha katika dimba Taifa la Botswana.





Join us on WHATSAPP 
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.