Shaffih Dauda Amtupia Dongo Manara Kupitia Comment..
Mmoja wa wachambuzi wa soka na mtangazaji wa kituoa cha redio cha Clouds FM, Shaffih Dauda ameshushia dongo msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara baada ya kuposti ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram ulioonyesha kukubaliana na matokeo ya sare ya goli 2-2 iliyoyapata klabu ya Simba shidi ya Mwadui fc Jana.
Katika ujumbe wake Manara amesema."Tumetoka sare but life goes on,tumshukuru Mungu kama tunavyoshukuru tunapopata ushindi, Still unbeaten kwenye ligi."
Baada ya ujumbe huo Shaffih Dauda akatoa maoni kwa kumpa pole Manara na hii ni kutokana na ujumbe uliosambazwa mitandaoni ukionyesha mmoja wa shabiki wa soka akiahifi kumuachia mkewe awe mke wa Manara enda klabu ya Simba ingefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Mwadui.

Shaffih ameandika" pole bro, umekosa babe ya Shy Town"
Ujumbe huouhahohana na ujumbe huu ambao ulikuwa ukisomeka.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.