Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Kutimua Vumbi Leo.

 Ligi kuu Tanzania bara inatarajiwa kuendelea leo kwa mtanange mmoja wa raundi ya 19 ya ligi hiyo.

Mtanange huo unaowakutanisha 'Wanapaluhengo' Lipuli Fc dhidi ya Azam Fc mchezo utakaopigwa katika dimba la Samora lilipo mkoani Iringa.
Ratiba nyingine wikendi hii ni kama ifuatavyo


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.