Asante Kwasi Kuwakosa Mwadui Kesho..
Beki wa kimataifa wa Ghana, Asante Kwasi hata kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoshuka dimbani kuwakabili Mwadui fc kesho.
Kwasi ataukosa mchezo huo kutokana na kadi tatu za njano alizozioata katika michezo ya ligi kuu Tanzania hivi karibuni.
Simba itashuka dimbani kesho kusaka pointi 3 ili kuzidi kujiimarisha kileleni mwa ligi hiyo ambayo klabu hiyo inaiongoza ikiwa na pointi 41 kwa sasa..
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.