Azam Wawafuata Lipuli Kibabe.
Kikosi cha Klabu Ya Aza FC, tayari kimewasili na mjini Iringa saa 1 usiku kukabiliana na Lipuli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Samora mkoani hapa keshokutwa Ijumaa saa 10.00 jioni.
Azam kwa sasa wapo katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 34 ikiwa ni pointi 3 nyuma ya Yanga ambao wapo katika nafasi ya pointi 4 nyuma ya vinara ambao ni Simba sc..
Azam kwa sasa wapo katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 34 ikiwa ni pointi 3 nyuma ya Yanga ambao wapo katika nafasi ya pointi 4 nyuma ya vinara ambao ni Simba sc..
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.