BREAKING NEWS: Diamond Na Zari Waachana Rasmi...

Mke wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz "Zari" ameweka bayana kuwa leo ndio tamati ya mahusiano yao.

Zari ameweka wazi hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kuandika ujumbe ambao ameuandika kwa lugha ya Kiingereza. Katika ujumbe huo Zari amesema ameachana rasmi na Diamond na kufafanua kwa kusema kuwa wameachana kama mke na Mume lakini bado wao ni wazazi.

Za ameandika"Understand that this is very difficult for me to do.
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING  cannot be compromised.
We are separating as partners but not as parents.
This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know.
I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too.
I will teach my four sons to always respect women, and  teach my daughter what self-respect means.
Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters.
HAPPY VALENTINE'S"

Diamond na Zari wanao watoto wawili ambao ni Tiffa na Nillani.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.