UPATIKANAJI WA TIKETI



*Simba vs Js Saoura - Jumamosi 12/01/2019*

*BEI YA TIKETI*
MZUNGUKO  5,000
VIP B & C.    10,000
PLATINUM 100,000
Hii platinum wanapatia huduma zifuatazo:
 - Watakaa sehemu ya VIP A
 - Waacha gari zao Serenq hotel na kuchukuliwa na Min bus maalum kuja na kurudi Taifa kwa Escout ya Police.
 - Wapatewa Jezi Mpya za Simba
 - Watapata bites na vinywaji wakiwa uwanjani.

*HUDUMA*
Siku ya Jumamosi Uwanja utakuwa wazi mapema saa 4 asubuhi na Kuanzia saa 6 hadi saa 8 kutakuwa na burudani mbalimbali ikiwemo Twanga Pepeta Full Mziki.
Huduma ya Vyakula na Vinywaji vitakuwepo uwanjani.

*TIKETI*
Tiketi zinaanzwa kuuzwa Leo kwa Njia ya Selcom kwa wenye kadi wanaweza kununua Direct au kwa Mashine za Selcom.
Kuanzia Ijumaa Asubuhi mapaka Jumamosi siku ya mechi *Tiketi zitapatikana kwenye Van maalim zitakazokuwepo maeneo mbalimbali maarufu wa uuzaji tiketi Posta Mpya, Kariakoo Bigbon, Karume Stadium, Uwanja wa Taifa*. Sehemu zingine zitatangazwa baadae.

JEZI
Kutokana na miutikio wa Mashindano haya Simba imetoa Punguzo la Jezi zake kuanza Leo mpaka siku ya mechi Jumamosi zitauzwa kwa 15,000 tu na zitapatikana Maduka ya Sinza na Kariakoo yanayouza Jezi zao.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.