Yanga kicheko CAF Confederation cup
Klabu ya Yanga jana ilipata ushindi wa kwanza kwenye mchezo wa kundi D kombe la klabu bingwa Afrika (Caf Confederation Cup) baada ya kuwafunga USM Alger kwa magoli mawili kwa moja (2-1) magoli yakifungwa na Kaseke pamoja Makambo.
-Kwa ushindi huo klabu ya Yanga imefikisha pointi 4 huku mchezo mwingine wa kundi D Rayon Sports imefufua matumaini ya kufuzu Robo fainali baada ya ushindi wa jana wa magoli mawili kwa moja (2-1) dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Msimamo
P GD Pts
1-Gor Mahia 5 4 8
2-USM Alger 5 4 8
3-Rayon Sports 5 0 6
4-Yanga Sc 5 -8 4
Mechi za mwisho
Rayon Sports vs Yanga
USM Alger vs Gor Mahia
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.