Gari la mashabiki wa Simba lapata ajari, la mgonga Mama muendesha baiskeli.

Gari iliyokuwa imewabeba mashabiki wa Simba tawi la Ubungo Terminal limemgonga mwanamke mwendesha baiskeli kisha kuacha njia maeneo ya Nzega Ndogo. Mwanamke amepata majeraha na amekimbizwa hospitali wakati hakuna abiria aliyejeruhiwa. Gari imeharibika na haiwezi kuendelea na safari.

Mashabiki hao walikuwa wakielekea jijini Mwanza kushuhudia mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba Sc na Mtibwa Sugar


Source:BOIPLUS MEDIA..

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.