Tshishimbi Awabwaga Okwi Na Buswita Tuzo Za Mchezaji Bora VPL.
Kuingo mkabaji wa Yanga Papy Tshitshimbi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara.
Papy Kabamba Tshishimbi ametangazwa baada ya kufunga mabao 3 na kutoa pasi moja ya mabao katika michezo 4 aliyocheza na kuisaidia timu yake ya Young Africans kuvuna alama 12. Tshishimbi atazawadiwa pesa taslimu milioni 1, kingamuzi na tuzo
Join us on WHATSAPP
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.