FT: GENDARMERIE FC VS SIMBA..

Klabu ya Simba imesonga mbele katika michuano ya kombe la Shirikisho  barani Afrika baada ya kuinyuka Gendarmerie fc kwa jumla ya goli 5-0 baada ya hapo awali kuinyuka kwa goli 4-0 na leo kutamatisha kazi kwa goli 1-0.

Alikuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ndiye aliyepigilia msumali wa mwisho na kuihakikishia Simba nafasi ya kusonga mbele katika michuano hiyo.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.