Kocha Yanga kuishuhudia timu yake akiwa jukwaani

Kocha mkuu wa Yanga SC raia wa Kongo - DRC , ataendelea kuitazama timu yake ikicheza leo dhidi ya Mtibwa Sugar mechi yake ya kwanza ligi kuu akiwa Jukwaani huku msaidizi wake Mwandila akiiongoza timu uwanjani. -Hii inatokana na kuchelewa kutoka kibali chake cha kufanya kazi nchini Tanzania ingawa tayari ana kibali cha ukazi. Uongozi wa Yanga umefuata taratibu zote za kumuombea vibali hivyo , kilichobaki na idara husika za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukitoa kibali hicho cha pili baada ya taratibu husika kumalizika kufuatwa.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.