Singida United Kushusha Straika Kutoka Brazil.
Klabu ya Singida United iko mbioni kumnasa Straika kutoka nchini Brazil ili kuhakikisha inajiweka sawa kwa msimu ujao wa 2018/2019.
Hayo ya mewekwa wazi na Mkurugenzi wa Klabu hiyo , Festo Sanga, huku akigoma kulitaja jina la nyita huyo ambaye atasajiwa katika dirosha lijalo ka usajili.
Aidha ameongeza kuwa klabu hiyo haiko tayari kumuachia nyota wake Tafadzwa Kutinyu baada ya vilabu kadhaa kuonyesha nia ya kuinasa saini yake.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.