REAL MADRID MABINGWA WA UEFA 2017/18


-Real Madrid ni timu ya kwanza kushinda taji la Uefa Champions League mara tatu mfululizo (2016, 2017, 2018).

-Karim Benzema amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika fainali kutoka Ufaransa mara ya mwisho mchezaji kutoka ufaransa kufunga katika fainali alikuwa Zidane mwaka 2002.

-Karim Benzema ameifunga magoli 4 Liverpool katika Uefa Champios League sawa na Didier Drogba.

-Karim Benzema amefikisha magoli 56 na kumfikia Ruud Van Nistelrooy nj wachezaji watatu (Ronaldo, Messi, Raul) tu ambao wanamzidi Benzema ya kufunga magoli mengi ya Uefa .

-Sadio Mane  amefikisha magoli 20 msimu huu sasa  Salah, Firmino na Mane wamefunga magolu 20+ msimu huu ndani ya Liverpool ni msimu wa 1981/82  wachezaji watatu (Rush, Daglish, McDermott) wa  liverpool walifanikiwa kufunga magoli 20+.

-Sadio Mane amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Senegal kufunga goli katika Fainali ya Uefa

-Gareth Bale ametumia Sekunde 122 uwanjani kufunga goli baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Isco.

-Gareth Bale amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka British kufunga katika fainali mbili ya Uefa mara ya mwisho mchezaji kutoka British kufunga katika fainali mbili alikuwa Phil Neal wa liverpool mwaka 1977 na 1984.

-Gareth Bale amekuwa mchezaji wa kwanza kutokea sub na kufunga magoli mawili katika Fainali ya Uefa Champions League

FT Real Madrid 3-1 Liverpool
     51' Benzema      55' Mane
     64' Bale
     83' Bale

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.