Mamelodi Sundowns Kuwakabili Barcelona Leo na Ratiba Ya Mechi Kali Leo..



Mamelodi Sundowns Vs Barcelona

Huu ni Mchezo Maalumu wa Kirafiki wa kusherekea Siku ya Kuzaliwa Kwa raisi wa Kwanza wa Nchi hiyo (Afrika Kusini) Nelson Mandela Aliyefariki Mwaka 2015..Anaetimiza Miaka 100 tokea Kuzaliwa Kwake.

Pia hii Mara ya Pili Kwa Mabingwa hawa Kukutana Pia Mwaka 2007 Walikutana hapo hapo Afrika Kusini Katika Dimba la Loftus Versfeld na Mamelodi Sundowns Alipigwa 2-1.

👉 Young Africans Vs Rayon Sports
Yanga SC bila nyota wake hii leo kama Ibrahim Ajib na Papy Tshishimbi huku Mlinda Mlango Youthe Rostand pia Obrey Chirwa na Kelvin Yondani Wote Wamerejea kuivaa Rayon Katika Mchezo wa Makundi Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Taifa DSM.

Ili kujiweka katika pazuri katika  Msimamo Wawakilishi hao wa Nchi Wanatakiwa Kupata pointi tatu baada ya kukosa Ushindi wa Kwanza Kule Algeria Dhidi ya USM Alger.

Mchezo Mwingine wa kundi hilo D Utapigwa huko Kenya Kati ya Gor Mahia na USM Alger.

👉 Michezo mingine ya Makundi Mengine.
Aduana Stars na Raja Casablanca
UD Songo na RSB Berkane
CARA Brazzaville na Enyimba
Vita Club na ASEC Mimosa
Al Hilal Omdurman na Al Masry SC
Djoliba na WAC

👉 Jana Klabu Bingwa Mechi Kali.

KCCA 2-0 Al Ahly
Difaa El Jadida 0-2 TP Mazembe
Esperance 4-1 Township Rollers

👉 Leo Etoile Du Sahel na ZESCO United

👉 Europa League Final

Marseille na Atletico Madrid

Europa League Inafikia Mwisho hii leo Kwa kupigwa Mchezo wa Fainali kati ya Marseille ya Ufaransa na Atletico Madrid ya Hispania.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.