GOOD NEWS: DANNY LYANGA AREJEA KIKOSINI
Tunapenda kuwafahamisha kuwa, mchezaji wetu Dany Lyanga ameungana na kikosi cha Singidq United tayari kwa kujiweka FIT kwa kuanza kazi ndani ya kikosi hicho.
LYANGA ambaye usajili wake ulikwama wakati wa dirisha dogo, usajili wake utakamilika mapema dirisha likifunguliwa.Hivyo kwa sasa yupo kikosini kwa maandaliizi ya kuanza kazi.
#Maandaliziya2018/2019season.
Na Festo Sanga
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.